Ruka hadi maudhui

Sura ya TUNGURIDI

PesaMap

Ramani ya pesa za biashara yako ya kila siku.

Elewa hali ya biashara yako mwisho wa siku. Angalia kilichoingia, kilichotoka, fedha taslimu ulizohesabu na mambo machache yanayohitaji kufuatiliwa.

Majaribio ya PesaMap ni kwa mwaliko. Kama ungependa kushiriki, tuambie kuhusu biashara yako. Tunapitia maombi kabla ya kutuma mialiko.

Dira

Elewa hali ya biashara yako. Anza na fedha zilizorekodiwa kuingia na kutoka, fedha taslimu ulizohesabu na mambo ambayo bado hayajaeleweka.

Control

Zingatia mambo machache yanayohitaji kukaguliwa, kama tofauti ya fedha taslimu au rekodi ambayo bado haijaeleweka.

Business Memory

Rejea rekodi na maelezo ya awali ili kuona kilichorekodiwa na kilichobadilika.